MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR ASEMA SERIKALI YA SMZ INATEKELEZA KWA VITENDO AZMA YA KUKUZA NA KUENDELEZA SEKTA YA MICHEZO NCHINI
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inatekeleza kwa vitendo azma yake ya kukuza na kuendeleza Sekta ya Michezo Nchini. Akikabidhi Tunzo kwa vilabu na wachwzaji walioibuka na ushindi katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar, Mhe. Hemed amesema Serikali kupitia Wizara ya […]