Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Author name: ompr

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya uchangiaji damu duniani.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akihoutubia katika madhimisho ya siku ya uchangiaji damu duniani huku akimuagiza Waziri mwenye dhama wa Wizara ya Afya kuwaeka watendaji wenye uwezo na ubunifu katika kukiendeleza kituo cha damu salama Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Phillip Isdor Mpango akiwasili

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya uchangiaji damu duniani. Read More »

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AIPONGEZA SEKRETARIETI KAMATI YA PAMOJA YA KUSHUGHULIKIA MASUALA YA MUUNGANO

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameipongeza Sekretarieti ya Kamati ya Pamoja ya Kushughulikia Masuala ya Muungano kwa kufanikisha utatuzi wa hoja za Muungano. Mhe. Hemed ametoa pongezi hizo leo Mei 20, 2021 alipokutana na kufanya mazungumzo na Sekretarieti hiyo ofisini kwake Vuga, Zanzibar. Alisema pamoja na mafanikio hayo ipo haja

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AIPONGEZA SEKRETARIETI KAMATI YA PAMOJA YA KUSHUGHULIKIA MASUALA YA MUUNGANO Read More »