Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Dira na Dhamira

Dira : Kuwa  na  Serikali  yenye  kutoa  huduma  bora  kwa  jamii  na  yenye  uhimili mzuri wa uchumi, umoja na maendeleo endelevu.

Dhamira : Kuratibu  na  kusimamia  utekelezaji  wa  shughuli  za  Serikali  katika  sekta zote  za  Serikali  ya  Mapinduzi  ya  Zanzibar  na  mambo  ya  Muungano  kwa kufuata misingi ya Katiba, Sheria, taratibu na Utawala Bora.