A. Idara
i. Ofisi Binafsi ya Makamu wa Pili wa Rais, ii. Idara ya Uendeshaji na Utumishi;
iii. Idara ya Mipango, Sera na Utafiti;
iv. Idara ya Uratibu wa Shughuli za Serikali;
v. Idara ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa;
B. Taasisi zinazojitegemea
i. Ofisi ya Baraza la Wawakilishi;
ii. Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar
iii. Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa
C. Ofisi Ndogo
i. Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Pemba
ii. Ofisi ya Uratibu wa Shughuli za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dodoma;