Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya uchangiaji damu duniani.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akihoutubia katika madhimisho ya siku ya uchangiaji damu duniani huku akimuagiza Waziri mwenye dhama wa Wizara ya Afya kuwaeka watendaji wenye uwezo na ubunifu katika kukiendeleza kituo cha damu salama Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Phillip Isdor Mpango akiwasili […]