news

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR ASEMA SERIKALI YA SMZ INATEKELEZA KWA VITENDO AZMA YA KUKUZA NA KUENDELEZA SEKTA YA MICHEZO NCHINI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inatekeleza kwa vitendo azma yake ya kukuza na kuendeleza Sekta ya Michezo Nchini. Akikabidhi Tunzo kwa vilabu na wachwzaji walioibuka na ushindi katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar, Mhe. Hemed amesema Serikali kupitia Wizara ya […]

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR ASEMA SERIKALI YA SMZ INATEKELEZA KWA VITENDO AZMA YA KUKUZA NA KUENDELEZA SEKTA YA MICHEZO NCHINI Read More »

Kikao Maalum Kati ya Mhe. Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Taasisi binafsi na Mashirika ya Umma Kuhusu Sensa ya Watu na Makaazi 2022

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameeleza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inathamini Mchango wa Mashirika ya Serikali na Binafsi katika Maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi Katika kuhakikisha zoezi hilo linakamilika kwa maendeleo ya Zanzibar.Mhe. Hemed ameeleza hayo katika Hafla ya Uchangiaji wa Rasilimali za Sensa ya

Kikao Maalum Kati ya Mhe. Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Taasisi binafsi na Mashirika ya Umma Kuhusu Sensa ya Watu na Makaazi 2022 Read More »

SERIKALI ITAENDELEA KUVIIMARISHA VITUO VYAKE VYA UOKOZI ILI KUKABILIANA NA MAAFA” MHE. HEMED SULEIMAN ABDULLAH

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar itaendelea kuchukua tahadhari za kuwakinga wananchi  wake na majanga mbalimbali kwa kutoa elimu ya kuepuka mazingira  hatarishi yanayoweza kusababisha maafa. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla alieleza hayo katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Maafa duniani hafla iliyo fanyika  katika ukumbi wa Shekh Idriss Abdulwakili kikwajuni

SERIKALI ITAENDELEA KUVIIMARISHA VITUO VYAKE VYA UOKOZI ILI KUKABILIANA NA MAAFA” MHE. HEMED SULEIMAN ABDULLAH Read More »